![]() |
TIMU ZA RHINO RANGERS NA KAGERA SUGAR |
Na Ramadhan Faraji, Tabora
Timu za Rhino Rangers na Kagera Sugar kwenye
uwanja wa Ally Hassan Mwinyi zilisimama kimya kwa dakika moja kuomboleza kifo
cha shabiki maarufu wa Rhino Rangers
Shaban Maelezo kabla ya mechi baina ya timu hizo kuwania kusonga mbele
kwenye michuano ya kombe la Shirikisho.
Katika mechi hiyo Maafande wa Jeshi la Wananchi wa
Tanzania JWTZ Rhino Rangers waliikamua miwa ya Kagera baada ya kuizamisha
Kagera Sugar kwa jumla ya magoli 6 kwa 4 baada ya kukamilisha dakika 90 kwa
kufungana bao 1 kwa 1.
Sare hiyo iliamuliwa kwa mikwaju ya Penati ambapo Rhino Rangers iliibuka na penati 5 kwa
3 za Kagera Sugar.
RATIBA
YA KOMBE LA FA NCHINI UINGEREZA
Ijumaa 29 Januari, 2016
|
|||
1.
|
Derby County
|
v
|
Manchester United
|
Jumamosi 30
Januari,2016
|
|||
1.
|
Colchester United
|
v
|
Tottenham Hotspur
|
2.
|
Portsmouth
|
v
|
Bournemouth
|
3.
|
Bolton Wanderers
|
v
|
Leeds United
|
4.
|
Reading
|
v
|
Walsall
|
5.
|
Oxford United
|
v
|
Blackburn Rovers
|
6.
|
Bury
|
v
|
Hull City
|
7.
|
Shrewsbury Town
|
v
|
Sheffield Wednesday
|
8.
|
Aston Villa
|
v
|
Manchester City
|
9.
|
Arsenal
|
v
|
Burnley
|
10.
|
Crystal Palace
|
v
|
Stoke City
|
11.
|
West Bromwich Albion
|
v
|
Peterborough United
|
12.
|
Nottingham Forest
|
v
|
Watford
|
13.
|
Liverpool
|
v
|
West Ham United
|
Jumapili 31 Januari, 2016
|
|||
1.
|
Carlisle United
|
v
|
Everton
|
2.
|
MK Dons
|
v
|
Chelsea
|
No comments:
Post a Comment