Featured Post

KITUMBO:MAWASILIANO MADHUBUTI YA KIUTAWALA NI SIRI YA MAFANIKIO

Na Paul Christian, Tabora. Mawasiliano mazuri ya kiutawala baina ya wenyeviti na watendaji wa mitaa na wananchi ni jambo muhimu kat...

Saturday, January 9, 2016

HABARI KATIKA PICHA: ZIARA YA KWANZA YA MBUNGE WA KWANZA WA JIMBO LA ULYANKULU JOHN PETER KADUTU

Na Paul Christian, Ulyankulu

MBUNGE WA ULYANKULU JOHN KADUTU AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI WA DINI KATIKA KUIMARISHA AMANI, UMOJA NA MSHIKAMANO MIONGONI MWA WAKAZI WA JIMBO LA ULYANKULU
VIONGOZI WA DINI WAKIFUATILIA HOTUBA YA MBUNGE WA ULYANKULU JOHN KADUTU
VIONGOZI WA DINI JIMBO LA ULYANKULU WAKIPIGA MAKOFI KUASHIRIA KUKUBALIANA NA HOTUBA YA MH. JOHN KADUTU
MH. JOHN KADUTU (ALIYESIMAMA)  AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI WA DINI WA JIMBO LA ULYANKULU
KATIBU WA MBUNGE JAFAEL LUFUNGIJA AKIFUNGUA KIKAO CHA KAZI CHA VIONGOZI WA DINI PAMOJA NA MBUNGE JOHN KADUTU
NYUMBA PEKEE YA WAGENI KATIKA KATA YA ICHEMBA

MH. JOHN KADUTU AKIWASIKILIZA VIONGOZI WA VYAMA VYA MSINGI VYA USHIRIKA KUTOKA JIMBO LA ULYANKULU

WANAUSHIRIKA WA JIMBO LA ULYANKULU KATIKA KIKAO CHA KAZI PAMOJA NA MH. JOHN KADUTU KILICHOFANYIKA KWENYE UKUMBI WA RC BARABARA YA 13

VIONGOZI WA VYAMA VYA MSINGI VYA USHIRIKA ULYANKULU WAKITAFAKARI HOTUBA YA MH. JOHN KADUTU


MH. JOHN KADUTU (KATIKATI) AKIELEKEA KWENYE UKUMBI WA MIKUTANO WA CHUO CHA VETA ULYANKULU



MH. JOHN KADUTU AKIZUNGUMZA NA WATUMISHI WA CHUO CHA VETA ULYANKULU
JENGO LA UTAWALA LA CHUO CHA VETA ULYANKULU

UKUMBI WA MIKUTANO WA VETA ULYANKULU ULIZINDULIWA MWAKA 2005

KAIMU MKUU WA CHUO CHA VETA GOSBERT H. KIBANI AKISOMA TAARIFA YA CHUO HICHO KWA MH. JOHN KADUTU
WAKUU WA SHULE,WALIMU WAKUU, MAOFISA UGANI,WATUMISHI WA AFYA, WATENDAJI WA VIJIJI NA KATA WA JIMBO LA ULYANKULU  WAKIFUATILI HOTUBA YA MH. MBUNGE JOHN KADUTU

MH. JOHN KADUTU ( WA PILI KULIA) AKISIKILIZA MAONI, MAOMBI NA KERO ZINAZOWAKABILI WALIMU, WATUMISHI WA AFYA, MAOFISA UGANI NA WATENDAJI WA VIJIJI NA KATA

MBUNGE WA JIMBO LA ULYANKULU JOHN KADUTU AKIWAHUTUBIA WAKUU WA SHULE, WALIMU WAKUU,MAOFISA UGANI,WATUMISHI WA AFYA, WATENDAJI WA VIJIJI NA KATA KUTOKA JIMBO LA ULYANKULU


WATAALAM WA SEKTA YA ELIMU, AFYA,KILIMO NA UTAWALA WA JIMBO LA ULYANKULU WILAYA YA KALIUA WAKIFUATILIA KWA MAKINI HOTUBA YA MH. MBUNGE JOHN KADUTU

MH. JOHN KADUTU (ALIYEVAA SUTI) AKIKAGUA JENGO LA UPASUAJI AMBALO LIMETELEKEZWA KWA MIAKA KADHAA  KATIKA KITUO CHA AFYA CHA ULYANKULU

MUUGUZI WA KITUO CHA AFYA ULYANKULU FATUMA (KATIKATI) AKIFAFANUA UMUHIMU WA KUKAMILIKA KWA JENGO HILO 
MBUNGE WA ULYANKULU JOHN KADUTU AKIWA AMEMBEBA MTOTO MCHANGA KATIKA WODI YA WAZAZI KATIKA KITUO CHA AFYA ULYANKULU
MH JOHN KADUTU AKIKAGUA JENGO LA UPASUAJI KATIKA KITUO CHA AFYA ULYANKULU AMBALO UJENZI WAKE UMESIMAMA KWA MUDA MREFU
BAADHI YA WATUMISHI WA KITUO CHA AFYA ULYANKULU WAKIMSIKILIZA MH. JOHN KADUTU

MH. JOHN KADUTU (ALIYESIMAMA) AKIZUNGUMZA NA ASKARI WA KITUO CHA POLISI ULYANKULU

ASKARI WA KITUO CHA POLISI ULYANKULU WAKIFUATILIA HOTUBA YA MBUNGE MH. JOHN KADUTU

GARI LA KITUO CHA POLISI ULYANKULU LINAHITAJI MATENGENEZO BAADA YA KUHARIBIKA KWA AJALI
MKAZI WA KIJIJI CHA ICHEMBA TARAFA YA ULYANKULU AKIJIANDAA KWENDA SHAMBA
GARI LILILOTUMIKA KUMBEBA MBUNGE WA ULYANKULU MH. JOHN KADUTU WAKATI WA ZIARA YA SIKU TATU (JAN 5 HADI JAN 7 2016) YA KUTEMBELEA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI ZILIZOMO KATIKA JIMBO HILO

MH. JOHN KADUTU AKIZUNGUMZA NA WATUMISHI WA OFISI YA MKUU WA MAKAZI ULYANKULU ILIYOPO BARABARA YA KWANZA

MWAKILISHI WA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA, AFISA UTAMADUNI NA MICHEZO MARKO KAPELA AKIFAFANUA JAMBO MBELE YA  WATUMISHI WA OFISI YA MKUU WA MAKAZI ULYANKULU

MH. JOHN KADUTU AKISAINI KITABU CHA WAGENI KWENYE OFISI YA MKUU WA MAKAZI ULYANKULU

MH. JOHN KADUTU (SUTI) AKITETA JAMBO NA MWANDISHI WA HABARI WA MAGAZETI YA HABARI LEO NA DAILY NEWS MKOANI TABORA LUCAS RAPHAEL

MH. JOHN KADUTU (SUTI) AKIBADILISHANA MAWAZO NA KATIBU WAKE JAFAEL LUFUNGIJA

MH. JOHN KADUTU (SUTI) AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA WATUMISHI WA KANDA YA KUSINI WA PORI LA AKIBA LA KIGOSI MOYOWOSI KATIKA KIJIJI CHA UHINDI

MH. JOHN KADUTU (KATIKATI)AKITETA JAMBO NA DIWANI WA KATA YA UYOWA ALPHONCE MSANZYA

MBUNGE WA JIMBO LA ULYANKULU MH. JOHN KADUTU AKIZUNGUMZA NA WATUMISHI WA OFISI YA PORI LA AKIBA LA KIGOSI MOYOWOSI KANDA YA KUSINI

No comments: