![]() |
DIWANI WA KATA YA KILOLENI MOHAMED MAPANDE PAMOJA NA DIWANI WA VITI MAALUM KAPESIWA FUNDIKIRA WAKITAFAKARI MADA JUU YA MAFANIKIO NA CHANGAMOTO ZA TUWASA |
![]() |
DIWANI WA KATA YA MISHA YASSIN KUSHOKA AKIITAKA TUWASA KUVIPATIA MAJI VIJIJI VINAVYOZUNGUKA BWAWA LA IGOMBE |
![]() |
DIWANI WAKA TA YA ITONJANDA ALPHONCE KULWA AKIHOJI NI LINI WAKAZI WA KATA HIYO WALIOPISHA UJENZI WA BWAWA LA KAZIMA WATALIPWA FIDIA ZAO WANAYODAI KARIBU MIAKA 20 SASA |
![]() |
DIWANI WA KATA YA NDEVELWA SULEIMAN MAGANGA AKIITAKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORA KUANZA KUTENGA BAJETI KUSAIDIA MIRADI YA MAJI KAMA WANAVYOFANYA WANANCHI NA TUWASA |
![]() |
DIWANI WA KATA YA NG'AMBO GEORGE MPEPO AKIELEZA UMUHIMU WA KUTAMBUA NA KUWACHUKULIA HATUA WALIOPEWA VIWANJA NA KUJENGA JUU YA MTANDAO WA MABOMBA YA TUWASA |
![]() |
SALUM MSAMAZI DIWANI WA KATA YA IKOMWA AKIFUATILIA KWA MAKINI MADA YA UPATIKANAJI WA MAJI KATIKA MANISPAA YA TABORA |
![]() |
MADIWANI WA MANISPAA YA TABORA WAKIFUATILIA MAELEZO YA INJINIA MKAMA BWIRE |
![]() |
DIWANI WA KATA YA CHEM CHEM REHEMA KABATA AKITAKA UFAFANUZI JUU YA MAENEO YALIYOTENGWA KWA AJILI YA MAJI TAKA |
![]() |
MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA TABORA LEOPORD CHUNDU AKIFUATILIA MAELEZO YA MKURUGENZI MTENDAJI WA TUWASA INJINIA MKAMA BWIRE |
![]() |
NAIBU MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA TABORA HADIJA NKUMBA AKITAFAKARI JAMBO WAKATI WA SEMINA |
![]() |
DIWANI WA KATA YA KANYENYE HUSSEIN GULAM REMTULA AKIBADILISHANA MAWAZO |
![]() |
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORA ZIPORA LIANA AKIFUATILIA MAELEZO KUHUSU UPATIKANAJI WA MAJI KATIKA MANISPAA HIYO |
No comments:
Post a Comment