Featured Post

KITUMBO:MAWASILIANO MADHUBUTI YA KIUTAWALA NI SIRI YA MAFANIKIO

Na Paul Christian, Tabora. Mawasiliano mazuri ya kiutawala baina ya wenyeviti na watendaji wa mitaa na wananchi ni jambo muhimu kat...

Sunday, December 6, 2015

MBUNGE WA ULYANKULU JOHN P. KADUTU AKISIMIKWA KUWA MTEMI

Mzee Solomon Kazwika Milambo (aliyesimama wa kwanza kushoto) akiwaongoza wazee wa familia ya mtemi Milambo katika shughuli ya kumsimika mbunge wa kwanza wa jimbo la Ulyankulu John Peter Kadutu (aliyekaa kwenye kiti) kuwa mtemi.Shughuli hiyo ilifanyika juu ya kaburi la babu yake  mtemi Milambo aliyeishi miaka 300 na kuzikwa ndani ya kijumba kinachoonekana nyuma.(28 Nov 2015)

No comments: